Sisi sio mashabiki wa gobbledygook

Ujanibishaji wa programu za kompyuta na ufasiri wa maandishi ya biashara na uchumi ni tendo gumu lisilo la kawaida. @transcript, kampuni inayomilikiwa na mfasiri, iko na uzoefu wa miaka mingi katika nyanja hii.

@transcript ilianziswa Cologne, Ujerumani, mwaka wa 1998 kama timu ndogo ya wafasiri waliojitolea na wenye shahada za ufasiri. Hivi leo, sisi ni timu ya wafasiri kumi wa kiufundi, wawakilishi wa huduma kwa mteja, wasimamizi wa kazi na wataalamu wa Teknolojia ya Habari. Mtandao wa wafasiri duniani wanaofasiri kwa lugha zao za kuzaliwa hutusaidia, kutoka kazi ndongo mpaka kazi kubwa zilizo na mamilioni ya maneno.

Timu inayoifanyia kazi kazi yako huwa ndogo vile unavyo taka na huwa kubwa kulingana na mahitaji ya kazi yako.

Tunaweza kukufanyia nini? Tafadhali tupigie simu au tutumie barua pepe!

Falsafa na timu
Dhana
Kazi na amali
@transcript