Habari kutoka ulimwengu wa ufasiri na ujanibishaji wa programu za kompyuta.

Sisi tunakubali kwamba tunapenda lugha. Ulimwengu wa ufasiri na ujanibishaji wa programu za kompyuta kwa kweli ni wa kusisimua na kuvutia sana. Hata yale huendelea ofisini huwa habari! Soma blogu yetu ujijulishe kuhusu mambo machache yakufurahisha kuhusu wateja, marafiki na wenzi pia. Kuwa ukisikiliza!
Kuisasisha blogu yetu na kuepuka ucheleweshaji kwa sababu ya ufasiri wake kwa lugha nyingine, habari zetu zitakuwa kwa lugha mbili kuu za Kijerumani na Kiingereza peke yake. Unakaribishwa kujiunga kwa viingizo vya blogu kwa kutumia ufanyaji wa RSS. Wasiliana na @transcript!
 

Bofya hapa kwa:

Blogu ya Kijerumani

Blogu ya Kiingereza