Zingatia lengo - na bajeti

Kama unataka kufanya biashara katika kiwango cha kimataifa, lazima uweze kutegemea ufasiri mzuri. Kwa hivyo makampuni yanaendela kuvutiwa na vyenye michakato ya ufasiri hufanya na jinsi wanavyoweza kufungamanishwa katika mtiririko wa kazi yao. Marekebisho yasiofaa lazima ya epukwe, kwa kuwa yanaweza kusababisha gharama zaidi au ya sababishe matatizo wakati tarehe za mwisho zimekaribiana.

Tutafurahia kukupatia ushauri kuhusu mambo yote yanayohusiana na ujanibishaji wa programu za kompyuta na ufasiri. Tutakusaidi kurahisisha kazi yako ya ufasiri na yenye gharama nafuu na kuunda mchakato wako wa ufasiri. Pia tutafanya kazi pamoja na wewe kuamua vile tutafungamanisha mtiririko wa kazi yako ya ufasiri katika michakato yako na jinsi ya kuusadifisha.

Asante kwa uzoefu wetu wa kushughulikia kazi kubwa na ngumu za kampuni zinazoheshimika, tunaweza kubadilisha mifumo kwa urahisi ili tuweze kukuhudumia. Tutafurahia kukupatia bei.