Tunasimama na kazi zetu

@transcript imetengeneza ustadi mkubwa katika ufasiri wa kiufundi na ujanibishaji wa programu za kompyuta tangu 1998. Kwa hivyo orodha ya kazi zetu ni ndefu. Sisi ni wataalamu katika ufasiri wa maandishi ya kiafya, Teknolojia ya Habari, kifedha na uuzaji, ujanibishaji wa programu za kompyuta na ufasiri mgumu na usimamizi wa istilahi. Tumeamua tusiorodheshe wateja wetu wote hapa ndio tulinde maslahi yao. Tutafurahi kukupatia taarifa kuhusu orodha kubwa ya huduma zetu, uwezo wa kazi zetu na wadhamini wa kitaalamu.

Tafadhali wasiliana nasi.